2 Chronicles 30:8

8

aMsiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa Bwana. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni Bwana Mwenyezi Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi.

Copyright information for SwhKC